WINDOWS 11 INAYO INGIA KWENYE COMPUTER YOYOTE.
Kwa watumiaji wa Computer (Desktop & Laptop) zinazo tumia
Windows OS, Microsoft Wame toa Windows mpya la Windows 11 .
Kwa bahati mbaya sio kila computer itaweza
ku ingiza Windows 11 kutokana na
specification za techsecurity walizo
zihitaji.
Kutpkana na vigezo vya Computer iliiweze ku
run win11 lazima iwe na TPM 2.0 (Trusted Platform Module) .
Hivyo kufanya Computer zote zilizo
tengenezwa kuanzia mwaka 2015 kurudi nyuma 2014 na kuendelea hazito weza kupokea Win11.
LAKINI HAPA TANZANITECH
TZT Tuna asolution ya kufanya au kukupatia
windows 11 itakayo weza kuingia kwenye Computer yako yoyote ile. Haijalishi ya
mwaka gani .
JE UNAWEZAJE KUINGIZA WIN11 KWENYE COMPUTER
YAKO ISIO NA TPM2.0?
Ni rahisi sana ukiwa nasi TanZaniTech.
HATUA ZA KUFANYA:
1: Download Image ya Window11 ambayo isha tengenezwa tayari kabisa kwa ajili ya Computer yoyoteile. DOWNLOAD HERE.
2: Tengeneza
Bootable flash drive (USB) kwa kutumia
Application ya Rufus DOWNLOAD HERE.
3: Unaweza ku Boot kwa kutumia Fkeys za
mashine yako au kwa kurun Setup iliyopo
ndani ya Bootable flash yako na utafuata maelekezo yote .
4:KM Spico kwaajili ya ku Activate Windows yako. Download Here
Kumbuka kufanya Backup ya data zako za
muhimu kwasabau itafuta data na kuinstall Windows mpya.
5:
Computer yako itaji restart mara
mbili na itakuwa tayar kwa kumalizia kujaza majina yako na Tayar kwa
matumizi.
MAHITAJI YA KU-INSTALL Windows 11
1- Windows 11 Modified Image . Download Here.
2- Rufus Setup . Download Here.
3- KM Spico kwaajili ya ku Activate
Windows yako. Download Here
****PASSWORD****
TanZaniTech
******************
4- *ENJOY*
TechNews, #Innovation #TanzaniaTech #tzt #tanzanitech #DigitalTransformation #swahilitech #ScienceandTech #EmergingTech #cartzronics #GlobalTech#FutureTech #SmartTechnology #AI #IoT #DigitalTrends #TechBlog #TechInnovations #TrendPhone #ScienceBreakthroughs #GreenTech #GreenerFuture #NewPhone #BrandNew #LatestWindows #LatestPC #Windows #iOS #MacOS
0 Comments